Thursday , 18 December 2014
Breaking News

LATEST UPDATES

PICHA ZAKWANZA DIAMOND PLATNUMZ ATUA UGANDA, ZARI AMPOKEA

dimondooo

Read More »

Zari aanda gari hili la kifahari litakalo mpokea DiamondPlatnumz nchini Uganda

zar

  Masaa machache kutoka sasa Diamond Platnumz kutua nchini Uganda ili kukinukisha katika show ya Zari the boss Lady, show hio inayotarajiwa kuhudhuriwa na mastaa tofauti. Diamond platnumz amesindikizwa airport na mama yake mzazi, sio jambo geni kwa mama kumpeleka Airport kwani tumesha shuhudia mara kadha akiwa anaenda kwenye show za nje.                Zari ... Read More »

BREAKING NEWZZZ…AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

madinda22

ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN! Read More »

HUYU NDO MPENZI WA MSANII WA BONGO FLEVA YOUNG KILLER

youngkiller2

Ni mara chache sana kwa masupastaa kufunguka kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, ni wachache sana ambao wako tayari kuweka mambo wazi kama msanii Young Killer ambaye ana ameweka wazi uhusiano wake na mwanadada Halimaty.‘’Halimaty ni mpenzi wangu nipo naye zaidi ya miaka nane,amekuwa zaidi ya rafiki’’alisema Young Killer kwenye shoo ya After Skul Bash iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya ... Read More »

HATIMAYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AJIUZURU

WEREMA

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi lake – Ni kufuatia kashfa ya Tegeta Escrow   Read More »

SERENGETI BREWERIES LIMITED YAZINDUA CHUPA MPYA “TUSKER 330ML” SOKONI

21-667x442

RE: TAARIFA KWA UMMA SBL YAZINDUA CHUPA MPYA “TUSKER 330ML” SOKONI Wateja wa bia ya Tusker Lager kwa mara nyingine wamepewa heshima baada ya  kampuni ya Serengeti Breweries kuingiza sokoni chupa ya bia mpya inayojulikana kama “Tusker ml330” Wahudumu wa kampuni ya bia ya Serengeti wakionyesha mwonekano wa chupa mpya ya bia ya Tusker yenye ujazo wa ml 330 . ... Read More »

PATASHIKA TAREHE 18, WEMA KWA CHAMELEONE, DIAMOND KWA ZARI

diamond-na-wema

Read More »