Ajali mbaya ya basi yaua Tanga leo

0

AJALI: Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine sita kujeruhiwa vibaya, baada ya basi kubwa kugongana na Hiace katika eneo la Kabuku wilayani Handeni.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, ACP Leonce Rwegasira amesema ajali hiyo imetokea leo saa 5:30 asubuhi.

3,357 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author