Alichokisema Zitto Kabwe kuhusu matokeo ya jana ya Serengeti Boyz

0

Kiongozi wa Chama Cha Act-Wazalendo Zitto Kabwe ambaye ni mdau Mkubwa soka nchini amesema kuwa timu ya Taifa vijana chini ya miaka 17 imefanya kazi kubwa mpaka kufikia mwisho wasafari yao ya kuelekea kucheza kombe la dunia la (U17),

Serengeti Boys imeyaaga mashindano ya AFCON U17 huko Gabon baada ya kufungwa bao 1-0 na timu ya taifa ya vijana ya Niger kwenye mechi ya mwisho ya Kundi B.

“Serengeti Boys mmefanya kazi kubwa kutambulisha nchi yetu kwenye soka la kimataifa. Ni wajibu wetu kuwaendeleza kivipaji na kusonga mbele. Kutoka mashindanoni ni sehemu ya mashindano. Tuangalie mbele. Hongereni Sana”

Loading...
Facebook Comments
Share.

About Author