Home Authors Posts by JOSEPH MABULA

JOSEPH MABULA

678 POSTS 0 COMMENTS

Mfumo wa usambazaji Maji wa Bagamoyo wakamilika kwa asilimia kubwa

Wataalamu wakiwa katika eneo la ujenzi wa mfumo wa usambazaji maji Bagamoyo uliokamilika kwa asilimia kubwa na kufika katika tenko la Bagamoyo linalohifadhi maji...

Mtwara DC waipongeza Serikali,MSD kwa kuwapelekea Dawa

 Dereva wa Bohari ya Dawa (MSD), Mkoa wa Mtwara, Bonventure Chacha Magesa, akishusha maboksi ya dawa kwenye Zahanati ya Kijiji cha Minyembe kilichopo Halmashauri...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, mh Kanyasu awaomba watumishi wampe...

  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe, Constantine Kanyasu amewaomba watumishi wa Maliasili na Utalii wampe ushirikiane ili aweze kutekeleza majukumu kama ambavyo Rais...

Wataalam wa Afya Muhimbili wanaendelea kuwajengea uwezo wataalam wa Hospital ya...

Daktari Bingwa wa macho kutoka Muhimbili Judith Mwende akimpima macho mgonjwa kwa kutumia mashine maalum ya kuangalizia Retina, kushoto ni Dkt. Mwita Machage wa...

Longido kupata maji safi na salama kwa asilimia 100-PROFESA MBARAWA

Waziri wa Maji Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb) amesema hali ya upatikanaji majisafi na salama katika mji wa Longido wenye idadi ya wakazi 16,...

Upatikanaji wa Dawa mkoani Mtwara ni asilimia 97

Afisa Huduma kwa Wateja wa Bohari ya Dawa (MSD), Florida Sianga (kushoto), akiwaelekeza Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Naliendele iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya...

Timu ya wizara Ya kilimo yatua Lindi na Mtwara kuanza na...

Na Mathias Canal-Wizara ya Kilimo, Mtwara Ikiwa ni siku moja tu mara baada ya kuapishwa kuongoza wizara ya kilimo katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar...

LAZIMA TUTOKE KWENYE KILIMO CHA KUJIKIMU NA KUWA NA KILIMO BIASHARA-MHE...

  Naibu Waziri wa Wizara ya kilimo Mhe Innocent Lugha Bashungwa Na Mathias Canal-WK, Dar es salaam ¬† SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo inatekeleza¬†Programu ya Kuendeleza Sekta ya kilimo Awamu ya...

Msaada wa Tshs. 86 Mil kunufaisha Wagonjwa wa Saratani ya Koo...

Mkurugenzi Mtendaji wa Hopitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru akipokea kifaa tiba cha aina ya STENTS kwa ajili ya wagonjwa wenye tatizo...

BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA UUZWAJI WA HISA ZAKE KUANZIA...

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Benjamin William Mkapa (kulia), akipokea hundi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof....