Home Authors Posts by JOSEPH MABULA

JOSEPH MABULA

815 POSTS 0 COMMENTS

LOWASSA ATOA MISAADA KWENYE VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amewataka Watanzania kujali makundi ya watu wenye mahitaji maalumu hususan katika kipindi hiki cha Mwezi...

UKAWA WAKATAA KUSALIMIANA NA WABUNGE WA CCM

Sakata la wabunge wa Ukawa kususa vikao vya Bunge vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson limefika pabaya baada ya baadhi ya wawakilishi hao...

WAZIRI MBARAWA AFUNGUA MKUTANO WA 19 WA USAFIRI WA ANGA KWA...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifungua mkutano wa 19 wa Usafiri wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini...

CCM YAWASILISHA GHARAMA ZA UCHAGUZI KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA...

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa CCM, Stanslaus Mamilo akimkabidhi vielelezo vya CCM vya matumizi ya Uchaguzi mkuu uliopita, kwa Mwangalizi wa Ofisi ya Msajili...

KODI YA USHURU WA BIDHAA YA ADA YA MIAMALA YA UHAWILISHAJI WA...

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akitoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na mitandao ya kijamii kuhusu namna Serikali itakavyotekeleza Bajeti...

RIPOTI YA UNHCR YAONESHA UWAPO WA WAKIMBIZI MARADUFU ZAIDI KATIKA HISTORIA...

TAARIFA ya hali ya wakimbizi duniani kufikia mwaka 2015 inaonesha kwamba watu milioni 65.3 wanaishi kikimbizi ikilinganishwa na watu milioni 59.5 kwa mwaka 2014. Ongezeko...

BARCLAYS BANK TANZANIA LAUNCHES A NEW STATE-OF-THE-ART BRANCH IN MWANZA

Barclays Bank Tanzania (BBT) Managing Director, Abdi Mohamed (left) and Barclays Africa Group Limited Chief of Distribution for Barclays Africa, Vimal Kumar (centre), cuts...

MSANII QUICK ROCKA ATOA SIRI NZITO KATI YAKE NA KAJALA

GEMU la Muziki wa Bongo Fleva lina vijana wengi wenye vipaji,  miongoni mwao ni Abbott Charles ‘Quick Rocka’ aliyeanza kusikika mwishoni mwa miaka ya...

MANGE KIMAMBI ATOA SABABU ZA KUISHAMBULIA MAITI YA MAREHEMU MAMA YAKE...

Kwa Mara nyingine tena Mange Kimambi akishirikiana tena na mke wa zamani wa Le Mutuz Nation wamefunga jana kumshambulia Marehemu Mama yake Le Mutuz...