Home Authors Posts by JOSEPH MABULA

JOSEPH MABULA

840 POSTS 0 COMMENTS

SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA MADAWATI 300 TOKA UBALOZI WA KUWAIT

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jaseem Al Najem (katikati) akikabidhi msaada wa madawati kwa Waziri wa Mambo ya Njena Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS NA MCHUMI MKUU WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Makamu wa Rais na Mchumi Mkuu wa Benki ya...

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BENKI KUU YA...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akibofya kitufe kuashiria uzi8nduzi rasmi wa maadhimisho ya miaka 50 ya benki...

KAMISHNA MSTAAFU SULEIMAN KOVA AAGWA RASMI KIJESHI BAADA YA KUSTAAFU

Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova akipunga mkono kwa Maofisa, wakaguzi, Askari na wageni mbalimbali waliohudhururia sherehe za kumuaga rasmi Jeshini baada...

KIJANA ALIYEWEZESHWA NA AIRTEL FURSA AWEZA KUTOA AJIRA KWA VIJANA WENGINE...

Kijana Innocent Kipondya aliyewezeshwa na Airtel kupitia mpango wake wa kuwawezesha vijana hapa nchini ujulikanao kama Airtel FURSA Tunakuwezesha akimuonyesha Meneja Masoko wa Airtel...

LOWASSA ATOA MISAADA KWENYE VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amewataka Watanzania kujali makundi ya watu wenye mahitaji maalumu hususan katika kipindi hiki cha Mwezi...

UKAWA WAKATAA KUSALIMIANA NA WABUNGE WA CCM

Sakata la wabunge wa Ukawa kususa vikao vya Bunge vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson limefika pabaya baada ya baadhi ya wawakilishi hao...

WAZIRI MBARAWA AFUNGUA MKUTANO WA 19 WA USAFIRI WA ANGA KWA...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifungua mkutano wa 19 wa Usafiri wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini...

CCM YAWASILISHA GHARAMA ZA UCHAGUZI KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA...

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa CCM, Stanslaus Mamilo akimkabidhi vielelezo vya CCM vya matumizi ya Uchaguzi mkuu uliopita, kwa Mwangalizi wa Ofisi ya Msajili...

KODI YA USHURU WA BIDHAA YA ADA YA MIAMALA YA UHAWILISHAJI WA...

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akitoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na mitandao ya kijamii kuhusu namna Serikali itakavyotekeleza Bajeti...