Home Michezo Bocco anyoosha Mikono kwa Okwi, Ona Alichoandika hapa

Bocco anyoosha Mikono kwa Okwi, Ona Alichoandika hapa

322
0

Bocco anyoosha Mikono kwa Okwi, Ona Alichoandika hapa

Mara baada ya Mchezo kati ya Simba na Azam kumalizika kwa Simba kushinda bao 1 kwa 0 huku bao hilo pekee likifungwa na mchezaji raia wa Uganda Emmanuel Okwi Mshambuliaji wa Simba John Raphael Bocco ameshindwa kuficha hisia zake.

Bocco ambaye jana alifichwa na mabeki wa Azam Yakubu na Aggrey Morris ameshindwa kuficha Hisia na Furaha yake Kucheza na Okwi Simba.

Bocco  ameandika anajivuia kucheza na mchezaji mwenye kiwango kama Okwi ndani ya Simba akitumia Mtandao wake wa Instagram Bocco ameandika.

😷😷😷😷😷😷 Huwa namuita Emma.. respect broo.. Binafsi najivumia kucheza na mchezaji wakiwango chako . Asante bro kutupatia 3 muhimu kwenye mechi muhimu na wakati sahihi 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 #nguvu moja# 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

Okwi  alifunga bao hilo jana akipokea Pasi Mujarabu kutoka kwa Asante Kwasi aliyepokea pasi kutoka kwa beki Erasto Nyoni.

Bao hilo limewafanya Simba kuendelea kuwa kileleni na Points 7 zaidi ya Yanga ambaye ndiye yupo nafasi ya Pili kwenye msimamo.

Leave a comment