BREAKING NEWS: WALLACE KARIA NDIYE RAIS MPYA WA TFF,AWABWAGA MAYAI NA MWAKALEBELA - The Choice

BREAKING NEWS: WALLACE KARIA NDIYE RAIS MPYA WA TFF,AWABWAGA MAYAI NA MWAKALEBELA

0
wallace-karia
Wallace Karia amewabwaga wapinzani wake na kuwa Rais mpya wa TFF.

Wakati Karia ameibuka na kura 99, waliomfuatia wanaonekana kupata hadi chini ya kura 10.

Karia aliyekuwa Kaimu Rais wa TFF, ametwaa nafasi hiyo baada ya mchuano mkali katika uchaguzi mkuu uliofanyika Dodoma.

 

Tunaendelea kuwaletea taarifa kuhusiana na kinachojili mjini Dodoma
Facebook Comments
Share.

About Author