Home Burudani Breaking Newz…Msanii Stan Bakora apata ajari mbaya ya Gari usiku huu

Breaking Newz…Msanii Stan Bakora apata ajari mbaya ya Gari usiku huu

105
0

Msanii mchekeshaji na muigizaji wa Tamthilia ya #Manenoyakuambiwa @stanbakora_ usiku huu amepata ajari mbaya ya gari maeneo ya Kigamboni Taarifa za awali zinasema kuwa amewaishwa hosptali ya Kibada Faith Health Center