Home Burudani Breaking Newzz….Diamond apata ajali mbaya ya Gari akiwa na wenzake Nchini Marekani..Tazama...

Breaking Newzz….Diamond apata ajali mbaya ya Gari akiwa na wenzake Nchini Marekani..Tazama video jinsi walivyopata ajali

381
0

Ujumbe wa Diamond baada ya kupata ajali

 

DAH!!! ALMOST DIED TONIGHT!… BUT GOD GAVE ME ANOTHER CHANCE TO BREATHE AND CONTINUE INPIRING & CREATING MORE FUTURE FOR MY FELLOW YOUTH!!!…
(Dah Tumepata ajari na kunusurika kufa usiku wa leo wakati tunatoka kwenye show….ila Mwenyez Mungu ametupa nafasi nyingine tena ya kuishi na kuendelea kushikana mkono na vijana wenzangu mtaani kwa pamoja tuziokoe familia zetu duni🙏🏻….)