Home Michezo BREAKING NEWZZ..KIUNGO WA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MBAYA YA GARI AKITOKEA...

BREAKING NEWZZ..KIUNGO WA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MBAYA YA GARI AKITOKEA DODOMA

306
0

MKUDE SHANGILIA

Screenshot_20170528-145856 Screenshot_20170528-145836

Kiungo wa Simba,Jonas Mkude amepata ajali mbaya maeneo ya Mitibora,Dumila mkoani Morogoro akiwa njiani kurejea Dar es Salaam kuiwahi Taifa Stars. Taarifa za awali zinasema ameumia maeneo ya shingoni, amekimbizwa kwenye hospitali ya mkoa wa Morogoro pamoja na majeruhi wenzie ambao baadhi wana hali mbaya.