Home News BREAKING Newzz….Rais Jacob Zuma amekubali kuachia madaraka ya kuongoza nchi hiyo

BREAKING Newzz….Rais Jacob Zuma amekubali kuachia madaraka ya kuongoza nchi hiyo

61
0

AFRIKA KUSINI: Rais Jacob Zuma amekubali kuachia madaraka ya kuongoza nchi hiyo, baada ya wito uliotolewa na chama chake ANC kumtaka kujiuzulu ndani ya masaa 48

Makubaliano hayo ya kujiuzulu yamekuja na sharti kwamba atafanya hivyo baada ya miezi 3 mpaka 6 kuanzia sasa. Bado uongozi wa ANC haujatoa jibu kama umeridhia ombi hilo.

Rais Jacob Zuma ambaye anakabiliwa na mashtaka kadhaa ya rushwa, alishindwa uongozi wa chama tawala (ANC) Desemba mwaka jana

Kiongozi mpya wa ANC, Cyril Ramaphosa anaongoza shinikizo za kumuondoa Zuma katika nafasi yake hiyo ya Urais, na hatimaye kushika pia nafasi hiyo

Leave a comment