Home Michezo Breaking newzz…Timu ya Simba yapewa point 3 baada ya kuishinda rufaa dhidi...

Breaking newzz…Timu ya Simba yapewa point 3 baada ya kuishinda rufaa dhidi ya Kagera Sugar

148
0

SIMBA MPYA

Hatimaye kamati iliyokaa leo imebaini Timu ya kagera Sugar ilimchezesha mchezaji wake Muhamad Fakhy hukunakiwa na kadi 3 za njano ambalo ni kosa kisheria.sasa Timu ya simba imepatiwa point 3 na magoli mawili na hivyo kupelekea Kagera Sugar kupokwa point 3 na magoli 2.Katika mchezo huo Simba ilifungwa goli 2-1 na Kagera Sugar

Leave a comment