CHADEMA WAITAJA GARI ILIYO KUWA INAMFWATILIA LISSU MARA KWA MARA

0

mboweez

CHADEMA walaani vitendo vinavyofanywa na watu wanasiojulikana na vyombo vya Dola kutochukua hatua. Wasema Lissu anaendelea vizuri.

Aidha Prof. Safari amsema kuwa kabla ya tukio Lissu aliwahi kusema anafuatiliwa na gari aina ya Toyota Premio. Hivyo alikuwa na wasiwasi na usalama wake.

Prof. Safari ameongeza kuwa tukio lingine ni kuuawa kwa Alphonce Mawazo, Mwenyekiti wa CHADEMA Geita. Aliuawa na Makamanda wa Polisi wakakataa asiagwe.

Facebook Comments
Share.

About Author