Chile yatwaa Copa America, Tazama Messi alivyokosa penati katika fainali - The Choice

Chile yatwaa Copa America, Tazama Messi alivyokosa penati katika fainali

0

Jana ilipigwa fainali ya kombe la Copa America ambapo Chile iliweza kutwaa kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuilaza Argentina kwa penati 4-2. Kikubwa katika mchezo huo ni mshambuliaji ya Argentina na mchezaji bora wa Dunia, Lionel Messi kukosa penati.

Tazama namna walivyopigiana penati katika fainali hizo zilizopigwa huko Marekani

Facebook Comments
Share.

About Author