Home Michezo Donald Ngoma apata Janga Jipya Yanga

Donald Ngoma apata Janga Jipya Yanga

163
0

Mchezaji ambaye amekuwa majeruhi kwa muda mrefu na hivyo kukosekana kwenye kikosi cha Yanga Donald Ngoma mchezaji wa Kimataifa kutoka Zimbabwe amekutwa na Janga Jipya la Majeruhi.

Mchezaji huyo moja kati ya wachezaji muhimu ndani ya Yanga kwa misimu kadhaa iliyopita Mwanzo aliumia Oktoba 2 2017 wakati Yanga ikicheza dhidi ya Mtibwa ambapo ilielezwa ilikuwa ni matatizo ya nyama za Paja.

Kisha baada ya Kutibiwa alipona kabla ya kuja kuumia tena Goti ambalo nalo alitibiwa na Kupona kabisa.

Kwasasa Donald Ngoma msomaji wa Kwataunit inaelezwa kuwa Donald Ngoma anasumbuliwa na MAJERAHA juu ya Kisigino.

Kwa Mujibu wa Daktari wa Yanga Edward Bavu Ngoma huenda akakaa Nje wiki sita zaidi kutoka sasa kutokana na Majeraha hayo. Endelea Kusoma habari zetu hapo chini na Like Ukurasa wetu wa Facebook

Leave a comment