EXCLUSIVE: MAHAKAMA YAPIGA STOP MKUTANO WA DHARURA WA YANGA - The Choice

EXCLUSIVE: MAHAKAMA YAPIGA STOP MKUTANO WA DHARURA WA YANGA

0
Yusuf-Manji-002
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu, imezuia kufanyika kwa mkutano wa dharura wa Yanga uliopangwa kufanyika keshokutwa Jumapili.

 

Taarifa za uhakika zimeeleza zuia hilo limefanyika jioni hii na tayari Yanga kama klabu, mwenyekiti wake Yusuf Manji na kampuni ya Yanga Yetu Ltd, wamefikishiwa taarifa hiyo.
Share.

About Author