Home News GAVANA WA JIMBO LA SHANDONG LILILOPO MJINI BEIJING NCHINI CHINA YU XIAO-MING...

GAVANA WA JIMBO LA SHANDONG LILILOPO MJINI BEIJING NCHINI CHINA YU XIAO-MING ATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) NA KUAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO ULIOPO

1571
0
 Gavana wa Jimbo la Shandong lililopo mjini Beijing nchini China Yu Xiao-ming akimsililiza mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kusubiri kufanyiwa upasuaji wa moyo.  Gavana huyo pamoja na ujumbe wake walitembelea Taasisi hiyo jana kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo zinazotolewa.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akipokea zawadi ya picha ya moyo kutoka kwa Gavana wa  Jimbo la Shandong lililopo mjini Beijing  nchini China Yu Xiao-ming alitembelea Taasisi hiyo jana kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo zinazotolewa.

 

 

Gavana wa Jimbo la Shandong lililopo mjini Beijing  nchini China Yu Xiao-ming akizungumza kuhusu kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya jimbo hilo na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi karibuni katika  Taasisi hiyo  kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo zinazotolewa.