GOLI KIPA WA YANGA AMUUDHI HAJI MANARA BAADA YA KUTUMIA KAULI MBIU YA SIMBA MTANDAONI

0

Haji Manara ahamishia Madongo kwa Kipa wa Yanga

Kutokana na Kipa wa Yanga Youthe Rostand kutumia Caption ya Yanga Nguvu Moja kauli ambayo hutumiwa na watani wao wa Jadi Simba “Simba Nguvu Moja” Haji Manara kaamua Kutupia Dongo.

Akitumia ukurasa wake wa Instagram msomaji wa Kwataunit.com  Haji Manara ameandika.

” Nilisema wazi ipo siku kila mtanzania atashabikia Simba…imekuwa desturi kwa sasa kipa huyu wa Yanga kutumia kauli mbiu yetu..NGUVU MOJA…ile daima kuna mwiko nyuma kuna upawa haitaki kabisa!!🙇🙇 “

2,856 total views, 4 views today

Facebook Comments
Share.

About Author