Home Michezo Habari Mpya waliyoitoa Yanga leo

Habari Mpya waliyoitoa Yanga leo

576
0

Klabu ya Yanga leo kupitia Mitandao yake ya Kijamiii ya Twitter na
Instagram imetoa Taarifa ya Michango ya siku 8 ambapo kwa siku hizo
zimechangwa zaidi ya Milioni 3 za Kitanzania. 

Yanga imewashukuru wote wanachangia timu yao.