HATIMAYE BEKI KISIKI ALIYEKUWA ANAICHEZEA AZAM ,PASCAL WAWA AFUNGA NDOA - The Choice

HATIMAYE BEKI KISIKI ALIYEKUWA ANAICHEZEA AZAM ,PASCAL WAWA AFUNGA NDOA

0

Mchezaji wa zamani wa Azam FC, Serge Pascal Wawa hamiaye amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu amabye pia ni mzazi mwenzake aliyezaa nae watoto watatu.

15251814_1145957312188106_7504837505829568512_n
Wawa alipost baadhi ya picha akiwa na mkewe wake huyo wakiwa na nafuraha kwenye ukurasa wake wa Instagram huku akipokea salamu za pongezi toka kwa marafiki kutoka sehemu mbalimbali duniani.

15275751_1278829125506589_4112478258761564160_n

Wawa ambaye kwasasa amerejea kwenye timu yake ya zamani ya El-Merreikh ya Sudan baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Azam FC.

Facebook Comments
Share.

About Author