Home Burudani Hatimaye Irene Uwoya afanikiwa kufika kwenye kaburi la Mume wake wa zamani...

Hatimaye Irene Uwoya afanikiwa kufika kwenye kaburi la Mume wake wa zamani Nchini Rwanda

161
0

PICHA : familia ya @ireneuwoya8 yafanikiwa kuzulu (kutembelea) kaburi la marehemu NDIKUMANA… mama mdogo na mama uwoya washindwa kujizuia… Wamwaga machozi na kugala Gala juu ya kaburi huku wakihuzunika kupita kiasi… Taarifa zilizo tufikia ni kwamba walinusurika kuzimia kutokana na Pressure iliyosababishwa na kulia sana