Home Michezo HATIMAYE NIYONZIMA ATEMWA RASMI

HATIMAYE NIYONZIMA ATEMWA RASMI

1534
0

Haruna Niyonzima kiungo aliyehamia Simba akitokea Yanga ametemwa Rasmi katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Rwanda baada ya kuitwa miaka 11 mfululizo.

Kutemwa kwake kunatokana na kutopata nafasi ya kucheza katika klabu yake ya sasa ya Simba.

Hii ni changamoto nyingine kwake kuweza kujituma zaidi ili aweze pata nafasi ya kucheza na kurudishwa Timu ya Taifa.