HAWA NDO WACHEKESHAJI Sita (6) BORA WALIOFANYA VIZURI NCHINI TANZANIA MWAKA 2017 - The Choice

HAWA NDO WACHEKESHAJI Sita (6) BORA WALIOFANYA VIZURI NCHINI TANZANIA MWAKA 2017

0

JOTI AMEENDELEA KUWA KIVUTIO KWA WENGI KUTIKANA NA UBUNIFU WAKE WA KILA SIKU

MPOKI AU MWARABU WA DUBAI KAMA AJULIKANAVYO…AMEKUWA NA MANENO AMBAYO HUWAACHA WATU HOI.NI MIONGONI MWA WAKONGWE WA TASNIA YA UCHEKESHAJI HAPA NCHINI

ANAITWA BROTHER K MCHEKESHAJI TOKA KUNDI LA FUTUHI…AMEJIZOLEA UMAARUFU MKUBWA KUTOKANA NA UWEZO WAKE MKUBWA WA KUCHEKESHA.

MC PILIPILI YE NI MC PIA NI MCHEKESHAJI

EBITOKE NI MOJA YA WACHEKESHAJI WALIOCHIPUKIA MWAKA HUU NA KUWA MAARUFU KWA HARAKA SANA

 

Mkaliwenu ni mmoja wa wachekeshaji walio chipukia kwa kasi mwaka huu

811 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author