Home Michezo Hawa ndo wachezaji watatu wa Yanga waliocheza vizuri leo

Hawa ndo wachezaji watatu wa Yanga waliocheza vizuri leo

224
0

Hakika kati wa wachezaji 3 waliofanya vizuri katika mchezo wa leo basi ni hawa watatu .

Yondani

Huyu hakika ni beki mwandamizi wa Timu ya taifa na Yanga kwa ujumla..leo kacheza vizuri sana na kwa akili kubwa …kaonyesha ukongwe waka katika mchezo wa leo

Kessy

Ni moja ya mabeki wa kulia walio makini kwa hapa nchini hakika kessy leo kaonyesha kandanda safi sana kwa kuweza kupanda kushambulia na kurudi nyumankwa wakati na kuzuia

Tshishimbi

Thsishimbi kajitahidi sana leonkutokana alikuwa anapambana na viungo wengi wenye uwezo mkubwa lakini alipambana sana na kuweza kuisaidia Yanga kwa kiasi kikubwa