HII NDO MISHAHARA YA BENCHI LA UFUNDI LA YANGA,TAZAMA HAPA,WA MWISHO HUPATA LAKI MBILI NA NUSU

0
1Benchi la ufundi klabu ya Yanga kabla ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara lilikuwa likiundwa na jumla ya watu 10 akiwemo aliyekuwa kuwa kocha mkuu kwa wa wakati huo Hans De Pluijm.

Hapa chini ni orodha ya majina na mishahara ya viongozi wa benchi la ufundi la Yanga.

Na. Jina Jumla ya Mshahara Kodi Mshahara halisi
1 Hans De Pluijm 31,188,714 9,238,718 21,950,000
2 Juma Mwambusi 6,974,429 1, 974,429 5,000,000
3 Juma Pondamali 2,403,000 603,000 1,800,000
4 Shadrack Nsajigwa 1,974,429 474,429 1,500,000
5 Dr. Edward Bavu 1,545,857 345,875 1,200,000
6 Hafidhi Salehe 1,188,714 238,714 950,000
7 Mahmoud Omary 431,375 31,375 400,000
8 Jacob Onyango 368,875 18,875 350,000
9 Mohames Mposo 263,681 8,431 255,250
10 Wanne Mkisi 1,045,857 195,875 850,00

 

Facebook Comments
Share.

About Author