Home Burudani Hii Video yawaponza Maulid Kitenge na Gerald Hando ,wapigwa stop kuchambua Magazeti

Hii Video yawaponza Maulid Kitenge na Gerald Hando ,wapigwa stop kuchambua Magazeti

285
0

Wachambuzi maarufu wa magazeti kupitia kituo cha Radio cha E-FM Radio,kupitia kipindi cha kunyamvua na kunyambulisha,huku gerald akijiita Mende na maulid akiitwa chumvi…

Maulid Kitenge na Gerald Hando yasemekana wameondolewa katika kipengele cha uchambuzi wa magazeti baada ya video yao iliyosambaa ikionyesha wakichambua shekh mkuu wa Dar es salaam alivyo mjibu Mange kimambi,huku maulid akisema shehe hakupaswa kumjibu Mange Kimambi.

Leave a comment