HILI NDILO BALAA LA CRISTIANO RONALDO ..AIPELEKA URENO FAINALI YA EURO 2016 - The Choice

HILI NDILO BALAA LA CRISTIANO RONALDO ..AIPELEKA URENO FAINALI YA EURO 2016

0
----mwisho-----

Timu ya taifa ya Ureno imesonga mbele kwenye hatua ya fainali katika michuano ya EURO baada ya kuitoa Wales kwa magoli 2-0. Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa suluhu lakini, Ureno walifanikiwa kupata magoli mawili ndani ya dakika 10 za kipindi cha pili. Yatazame magoli yote hapa chini.

Dakika tano baada ya kipindi cha kwanza PILI, mshambuliaji Cristiano Ronaldo aliifungia Ureno goli la kwanza.

 

Share.

About Author