HILI NDILO GETI LA UWANJA WA TAIFA LILILOVUNJWA NA MASHABIKI WAKILAZIMISHA KUINGIA UWANJANI - The Choice

HILI NDILO GETI LA UWANJA WA TAIFA LILILOVUNJWA NA MASHABIKI WAKILAZIMISHA KUINGIA UWANJANI

0
MASHABIKI wamevunja geti la kuingia uwanjani na wameanza kupambana na polisi ambao wamelipua mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya kuwasha.Co-ordinator wa mchezo huo ametoa tahadhari kama hali itaendelea hivi basi atasimamisha mchezo huo.
 

1,714 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author