HILI NDILO JUMBA JIPYA LA MCHEZAJI PAUL POGBA - The Choice

HILI NDILO JUMBA JIPYA LA MCHEZAJI PAUL POGBA

0
MAIN-pogba

Pesa dawa yake matumizi hasa zinapomkuta kijana mdogo kama Pogba. Habari mpya kwa huyu jamaa sasa hivi sio style ya nywere bali ni nyumba aliyonunua maeneo ya karibu na uwanja wa mazoezi wa club ya Manchestr united.

Pogba ametumia kiasi cha pound milioni 2.9 kununua nyumba ambayo ipo umbali wa dakika 20 kutoka uwanja wa mazoezi. Nyumba hiyo inaaminika ilikua inamilikiwa na mchezaji Javier Hernandez ambaye kwa sasa anacheza Bayer Leverkusen.

Kwa sasa Pogba anakunja pound laki mbili na tisini kwa wiki . Pogba mwenye miaka 23 anatakua anaishi kwenye nyumba hii yenye swimming pool, vyumba vikbwa vya kulala na majiko. Zaidi ni kwamba imejengwa kisasa kabisa.

Hizi ni picha 1o za nyumba yenyewe.

Share.

About Author