HILI NDILO JUMBA LA KIFAHARI ANALOJENGA MBWANA SAMATTA - The Choice

HILI NDILO JUMBA LA KIFAHARI ANALOJENGA MBWANA SAMATTA

0
Staa wa Tanzania katika Soka,Mbwana Samatta,ameamua kujenga Hekalu lake kimya kimya Maeneo ya Kigamboni,Imefahamika.

Samatta ambaye anakipiga katika Ligi ya Ubeligiji ,inasemekana ameamua kujenga Hekalu hilo mara baada ya kubomoa iliyokuwa nyumba yake ya awali maeneo ya Kisarawe II.
Share.

About Author