Hili ndo Penzi jipya kati ya Tunda na Mtangazaji wa Clouds Fm - The Choice

Hili ndo Penzi jipya kati ya Tunda na Mtangazaji wa Clouds Fm

0

Mtangazaji wa Clouds Fm ajulikanaye kama Castro Dickson amezama katikanpenzi zito na mwana dada Tunda ,wawili hao ambao wamezama katika penzi zito wameonekana kila sehemu wakiambatana kimahaba zaidi

5,505 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author