HIVI NDIVYO HARUSI YA MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J ILIVYOFANA JANA.

0

1 (2)

Mbunge wa Jimbo la Mikumi CHADEMA Mh. Joseph Haule aka Profesa J. amefunga pingu za maisha na mke wake Grace Mgonjo kwenye kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo ambapo wabunge kadhaa wa CHADEMA walihudhuria katika sherehe hiyo, Fullshangwe na Kikosi chake chote inamtakia maisha mema Mh. Profesa J. pamoja na Mkewe mungu awajalie afya njema na maisha marefu.

2 (2)

Mbunge wa Jimbo la Mikumi CHADEMA Mh. Joseph Haule aka Profesa J. akiwa na Mkewe ndugu jamaa na marafiki pamoja na wabunge wenzake mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam.

3 (2)

Waheshimiwa wabunge na wapambe wa Bwana Harusi wakiwa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaa.

Facebook Comments
Share.

About Author