Home Michezo Huu ndiyo muda wa mechi ya Cape Verde vs Taifa Stars 12.10.2018

Huu ndiyo muda wa mechi ya Cape Verde vs Taifa Stars 12.10.2018

2360
0

Huu ndiyo muda wa mechi ya Cape Verde vs Taifa Stars 12.10.2018

Tarehe 12.10.2018 kutakuwa na mechi kati ya Cape Verde dhidi ya Taifa Stars mechi ambayo ni ya kufuzu AFCON 2019 nchini Cameron.

Kuelekea mchezo huo watu wengi wamekuwa wakijiuliza juu ya muda wa mechi hiyo kwa saa za Afrika Mashariki (Kenya , Uganda na Tanzania).

Mechi hiyo  itaanza majira ya saa mbili usiku kwa Saa za Afrika mashariki na mtandao huu utakupa matokeo hayo moja kwa moja.