Huyu Mchezaji wa Azam “Sure Boy” ana matatizo gani ? Kila mechi ya Yanga hupata kadi Nyekundu ya kujitakia

0

Unaweza usipate jibu sahihi kwa nini Sure Boy hupata kadi nyekundu za kujitakia hadahasa pale Azam inapo kuwa inacheza na Yanga.

Leo amejidhihirisha mwenyewe kwa jinsi alivyoitafuta kadi nyekundu isiyokuwa ya ulazima wowote.

Hakika anahitaji kuelimishwa zaidi juu ya kupata

Kadi za kujitakia mara kwa mara.

3,021 total views, 4 views today

Facebook Comments
Share.

About Author