HUYU NDO Kiungo Mkabaji,a.k.a mkata umeme Justine Zulu Asaini Miaka 2 Yanga - The Choice

HUYU NDO Kiungo Mkabaji,a.k.a mkata umeme Justine Zulu Asaini Miaka 2 Yanga

0

zulu

Zulu akisaini mkataba wa miaka miwili na Yanga.

Kiungo mkabaji raia wa Zambia, Justice Zulu leo amesaini mkataba wa miaka miwili na Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC.

Zulu alieyetua nchini usiku wa kuamkia Jumannne, amejiunga na Kocha George Lwandamina ambaye naye ni raia wa Zambia aliyewahi kufanya kazi pamoja na kiungo huyo.

Kiungo huyo tayari amewaahidi mashabiki na wapenzi wa Yanga makubwa ila wampe muda na watafurahi wenyewe.

Share.

About Author