Home Michezo Huyu ndo mchezaji wa Yanga aliyepotea,uongozi waficha siri nzito

Huyu ndo mchezaji wa Yanga aliyepotea,uongozi waficha siri nzito

144
0

Mchezaji kayembee kankuuuu aliyesajiliwa na Yanga amezua maswali mengi miongoni mwa washabiki na wapenzi wa Timu hiyo kutokana na kutoonekana uwanjani na hata benchi.Huku wengi wakiuliza yuko wapi huyo beki wa kimataifa toka kongo.
Uongozi wa Yanga iko kimnya kuhusu mchezaji huyo ,huku taarifa za chinichini zikidai ITC yake haijatoka ,huku zingine zikidai Yanga hawajammalizia pesa .Uongozi wa Yanga uko katika sehemu nzuri ya kuweza kulifafanua hili kuliko kukaa kimnya.

Leave a comment