Huyu ndo mgombea URAIS wa TFF aliyepata kura moja tu.

0

Emmanuel Kimbe amepata kura moja tu katika uchaguzi uliofanyika leo Agosti 12 mjini Dodoma.

katika uchaguzi huo Wallace Karia kaibuka mshindi kwa kupata kura 90

Wagombea Urais wa TFF na kura zao…
Emmanuel Kimbe -1
Fredy Mwakalebela -3
Imani Madega -8
Richard Shija -9
Ally Mayai -9
Wallace Karia -95

Facebook Comments
Share.

About Author