Huyu ndo Mrembo maarufu Kenya aliyekopa pesa kwa baba yake na kumnunulia Mpenzi wake Benzi kama zawadi ya Valentine

0

KENYA: Mwanamitindo Fridah Kariuki (20), mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Methodist nchini humo, ‘amem-suprise’ mpenzi wake Michael Musyimi kwa kumnunulia gari aina ya Mercedes Benz kama zawadi ya siku ya wapendanao.

Binti huyo alimkopa baba yake fedha ili kumfurahisha mpenzi wake.

3,598 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author