Home Burudani Huyu ndo Mtangazaji Toka Clouds anayekwenda kutangaza Wasafi Tv ya Diamond,

Huyu ndo Mtangazaji Toka Clouds anayekwenda kutangaza Wasafi Tv ya Diamond,

177
0

Hatimaye tetesi zimeanza kuzagaa juu ya mtangazaji maarufu aliyekuwa Clouds aitwaye Zamaradi kuhamia Wasafi TV .Zamaradi alikuwa akiendesha kipindi cha Take One Clouds Tv na kuwa moja ya vipindi vilivyopendwa sana kipindi hicho.Sasa yasemekana ashaanza kuandaa vipindi tayari kwa ajiri ya kuanza kipindi katika Tv mpya mjini inayomilikiwa na Diamond iitwayo Wasafi Tv.

Hii inapelekea kuleta ushindani mkubwa katika miongoni mwa TV kongwe na maarufu kwa Burudani hapa Nchini.

Huyu ndo Mtangazaji Toka Clouds anayekwenda kutangaza Wasafi Tv ya Diamond,

Leave a comment