Je Wewe ni Mwanaume? Je Unatamani Mwanamke Akupende na Kukusifia

0

Je wewe ni Mwanaume???
Je unatamani Mwanamke akupende na kukusifia kwamba Ur the Man na wewe ni Husband Material??
Its easy…Kuwa tu mjinga!Huwezi kumsatisfy Mwanamke kama wewe sio mjinga!
Akisema usiangalie Mpira wa Man U na Arsenal anataka muende muvi ya Die Hard we kubali tu…
Akisema amekumiss uende home hata kama una party na washkaji mnahave Fun we jifanye mbwiga nenda,shes lonely na anakutaka wewe…
Akiomba hela ya Shopping Laki1 we mpe tu hata kama viatu vyako ulinunua buku 20 tena kwa kugombana na Machinga hadi ukamwaga mate kama Mvua..
Wanawake wana endless needs..Zingine zinaboa na kukera jazz band,ila huna jinsi,if you really want to satisfy her,You must be a fool…Akikuamsha amekumiss sa9 usiku amka umbusu,ukijifanya kukoroma kimenuka…Hao ndo Wanawake…Hii ndio Yangaaaaaaa!!
Message from:
Seth De Jesus Giovanni

Facebook Comments
Share.

About Author