Kati ya Hawa yupi ni MCHAMBUZI BORA wa Soka kwa sasa Tanzania ?

0

Kumezuka wachambuzi wengi wa soka Nchini Tanzania huku wengi wao wakifanya vizuri na baadhi yao wakifanya vibaya kuchambua soka bila ya kuwa na ujuzi na uelewa wa kutosha kuhusu soka na wasikilizaji wakichanganywa kwa takwimu zisizo kuwa na ukweli wowote.

Hawa ni baadhi ya wachambuzi wapya na wakongwe nchini tanzania.Baadhi yao kati ya hawa ni mchambuzi gani unaye mkubali kwa uchambuzi wake wa Soka hapa Nchini

  1. Dr. Leaky
  2. Shafii dauda
  3. Oscar Oscar
  4. Geofrey leah
  5. Edo kumwembe
  6. Ibrahim Masoud maestro
  7. Ally Mayay

 

1,946 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author