Home News KATIBU MKUU MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA...

KATIBU MKUU MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, KUJADILI HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

1146
0

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia) akiongoza kikao cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika Ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto) akitaka ufafanuzi kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, (CGP), Phaustine Kasike, katika kikao cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika Ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (katikati) akiongoza kikao cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika Ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi.