Kocha mzungu ampa adhabu ya kwanza Ndemla,kisa kugoma kumpa mkono Kocha - The Choice

Kocha mzungu ampa adhabu ya kwanza Ndemla,kisa kugoma kumpa mkono Kocha

0

Kocha mzungu ampa adhabu ya kwanza Ndemla,kisa kugoma kumpa mkono Kocha

Benchi la ufundi la simba lilimuondoa Ndemla kabisa katika mchezo wa jana ikiwa ni adhabu kutokana na utovu wa nidhamu alio uonyesha dhidi ya kocha masoud juma baada ya kugomankumpa mkono pindi alipofanyiwa sub kipindi cha kwanza kitu ambacho hakukifurahia

Share.

About Author