Majina ya waliofanya madhambi zaidi katika michuano ya kombe la FA - The Choice

Majina ya waliofanya madhambi zaidi katika michuano ya kombe la FA

0

Wakati Chelsea ikivaa Man United na kuifunga bao 1-0 katika mechi ya robo fainali ya Kombe la FA, Eden Hazard ndiye mchezaji aliyefanyiwa madhambi zaidi katika michuano hiyo.

Tayari imefika hatua ya nusu fainali lakini Mbelgiji huyo hadi sasa anaongoza kwa kufanyiwa madhambi akifuatiwa na Wilfred Zaha ambaye timu yake ya Crystal Palace ilishang’olewa.

Facebook Comments
Share.

About Author