Manchester United yakubali ada ya Beki huyu toka Benfica - The Choice

Manchester United yakubali ada ya Beki huyu toka Benfica

0

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya Benfica ya Ureno kwaajili ya kumsajili beki wa kati Victor Lindelof.

Man United watatoa kitita cha pound 30.7m kwaajili ya beki huyo raia wa Sweden

Facebook Comments
Share.

About Author