MANJI AGOMA KUVULIWA UDIWANI

0

manji.

DAR: Mfanyabiashara Yusuf Manji ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu amesema kuwa hatambui kuvuliwa Udiwani huo kwa sababu hajapewa barua rasmi kutoka Manispaa ya Temeke

Facebook Comments
Share.

About Author