Matokeo ya mechi za Europa, Man U yachapwa ugenini - The Choice

Matokeo ya mechi za Europa, Man U yachapwa ugenini

0

Michuano ya Ligi ya Europa iliendelea usiku wa November 3 kwa michezo kadhaa kupigwa, Manchester United imekubali kichapo cha 2-1 kutoka kwa wenyeji wao Fenerbahçe.

3a0a47dc00000578-0-image-m-33_1478212397333

Athletic Bilbao ya Uhispania ikaichakaza KRC Genk ya Ubelgiji kwa bao 5-3 magoli yote ya Bilbao yakiwekwa kimiani na mshambuliaji Aritz Aduriz.

Matokeo ya michezo mingine

cwxob5fxuaavi9k

Facebook Comments
Share.

About Author