MATOKEO YAMPA KIBURI GUARDIOLA, AINGIA MTAANI NA KUJIACHIA NA MKEWE - The Choice

MATOKEO YAMPA KIBURI GUARDIOLA, AINGIA MTAANI NA KUJIACHIA NA MKEWE

0

 

Sasa ulitaka afanye mini? Maana Kocha wa Man City, Pep Guardiola mambo yanamuendea vizuri naye ameamaua kujiachia kiana.
Leo asubuhi ameonekana akiwa ana katikati ya mitaa ta jiji la Manchester akijiachia na mkewe Cristina Serra.
Pamoja na mkewe, Guardiola, kocha wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich aliongoza na kocha wa viungo ambaye ni memba wa benchi lake, Lorenzo Buenaventura.

 

Mwendo wa kikosi cha Man City chini yake unaonyesha uko safi na tayari ameanza kupewa nafasi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England
Facebook Comments
Share.

About Author