MAZITO: PICHA ALIYO POST MWANA MZIKI BEN POL YA NUSU UTUPU YA ZUA GUMZO ZITO

0

Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amejikuta akizua minong’ono kwa mashabiki wake na watanzania kiujumla baada ya kuposti picha akiwa nusu utupu kwenye ukurasa wake wa Instagram .

Kwenye picha hiyo Ben Pol hakuweka maneno yoyote yale lakini alionekana amefungwa na kamba kama mtu aliyetekwa.

Picha hiyo iliyowekwa jana usiku mpaka sasa ina maelfu ya likes na Maoni kibao ya mashabiki wake wengi wakionekana kukerwa na kitendo hicho.

A post shared by BEN POL (@iambenpol) on

185 total views, 4 views today

Facebook Comments
Share.

About Author